♫
NEWS /
HATIMAYE DIAMOND PLATNUMZ AFIKA KARIMJEE KUUAGA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA
HATIMAYE DIAMOND PLATNUMZ AFIKA KARIMJEE KUUAGA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA
Baada ya pilikapilika za kuupokea mwili wa marehemu kutoka South Africa wa aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji vipindi vya Clouds media "Ruge Mutahaba"leo maelfu ya watanzania wamejitokeza katika viwanja vya karimjee jijini Dar es salaam ili kuuaga mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba
Diamond platnumz na mama yake Bi sandra pamoja na timu ya WCB nao wamejitokeza katika viwanja hivyo vya karimjee kuuaga mwili wa marehemu Ruge mutahaba, japo kuna skendo zilivuma kuwa hawatoweza kufika.
Atas